MetaTrader 5 (MT5)

Fanya trade ya CFD kwenye instruments unazopendelea za kutrade kwa kutumia MetaTrader 5. Jukwaa madhubuti la majozi ya sarafu na financial instruments zingine zinazofanya trade ya CFD, MetaTrader 5 inaweza kupakuliwa kwenye Expressfxt bila malipo.

Vipengele Vikuu vya MetaTrader 5

MetaEditor

Katika MetaTrader 5, unaweza kutengeneza roboti za kutrade na indicators za kiufundi kupitia zana maalumu ya MetaEditor. Zana hii inapounganishwa na jukwaa, mipango mipya itaonekana kiotomatiki kwenye MetaTrader 5 yako na inaweza kutekelezwa papo hapo.

MetaQuotes Language 5

Lugha ya programu kwa mikakati ya kutrade, MetaQuotes Language 5 (MQL5) inaruhusu uundaji wa scripts, roboti za kutrade na indicators. Uboreshaji wa MQL5 uliondoa mapungufu kadhaa ya toleo la awali, MQL4, hivyo basi kuongeza idadi ya vipengee na vifaa vya picha.

Mfumo wa Hedging

Katika MetaTrader 5 ukitumia Expressfxt, unaweza kutrade kwa kutumia muundo wa mfumo wa hedging. Hedging hukuruhusu kufungua positions nyingi, hata positions tofauti kabisa, kwa instrument ya kutrade.

Chati na Vipindi

Fuatilia mienendo ya bei ya wakati halisi katika chati za vipindi vya dakika 1 hadi mwezi 1 na hadi vipindi 21 kwa wakati mmoja. Kipengele hiki huwaruhusu traders kujibu mabadiliko ya quote papo hapo, na pia kuhifadhi historia ya quote katika fomu iliyoshikamana.

Uchanganuzi wa Kimsingi

Pata fursa za soko kwa vifaa vya uchanganuzi wa kimsingi kwenye MetaTrader 5, kama vile Kalenda ya Kiuchumi iliyojengewa ndani. Endelea kupata habari za hivi punde, athari za soko na ubashiri.

Indicators na Vifaa vya Uchanganuzi

Boresha hali yako ya utumiaji ya kutrade kwa indicators 38 zilizojengewa ndani, vifaa 22 vya uchanganuzi na vifaa 46 vya picha unapofanya trade ya financial instruments katika jukwaa la biashara.

Kuhusu MetaTrader 5

Toleo la tano la majukwaa ya MetaTrader, MetaTrader 5 hutoa utendaji na vipengele bora kuliko toleo la awali na kwa haraka likawa mojawapo ya majukwaa maarufu ya kutrade na traders wa fedha za kigeni wa mtandaoni na huduma za wakala duniani kote.

Jinsi MetaTrader 5 Ilitengenezwa

Upeo wa trade huanza kunapokuwa na zana mahiri na rahisi kutumia, na kampuni ya programu ya MetaQuotes hutoa huduma kwa jukwaa la MetaTrader 5, terminali bora ya kutrade kwa traders wa aina na viwango vyote vya ujuzi.

Iliyozinduliwa mwaka wa 2010 na kampuni ya maendeleo ya programu ya kutrade ya fedha, MetaTrader 5 imezidi kuwa maarufu zaidi kati ya traders, mawakala na wale wanaotoa huduma za uwekezaji au mawakala.

Toleo linalofuata kufuatia mafanikio ya MetaTrader 4, jukwaa la mali nyingi lilikidhi mahitaji ya traders kwa kutoa sio tu trade ya sarafu, lakini pia trade kwa karibu masoko yote ya kifedha, ikiwa ni pamoja na soko la futures.

Matumizi ya MetaTrader 5

Uchambuzi wa kimsingi na wa kiufundi, ishara za trade, trade ya algoriti - jukwaa la trade hutoa safu ya vifaa vinavyoboresha uzoefu wa kutrade. Jukwaa pia lina utangazaji wa ripoti za hivi punde za habari za kifedha kwa traders kuwasasisha kuhusu masoko.

Kwa mawimbi ya trade na uwezo wa kutrade wa kunakili katika MetaTrader 5, traders wanaweza kufuata ishara za traders waliofaulu na kunakili mikakati na orders zao za kutrade, ambayo yatatolewa kiotomatiki kwenye akaunti yako.

Trade ya Kiotomatiki na MQL

Trade ya kiotomatiki inawezekana kwenye MT5, kwa kutumia roboti za kutrade, au Expert Advisors, ambao huchanganua makadirio ya bei na kufanya operesheni kwenye masoko ya kifedha. Kuna indicators za kiufundi zilizosakinishwa awali na roboti za kutrade kwenye jukwaa, lakini traders wanaweza kusakinisha zaidi au kutengeneza Expert Advisors wao wenyewe kwa kutumia lugha ya programu, MetaQuotes Language 5 (MQL5).

Kufanya Trade kwa Simu na MetaTrader 5

Terminali ya biashara sio tu cha kompyuta za mezani za Windows, macOS na Linux. Traders walio na ratiba nyingi wanaweza pia kutrade wakitumia simu kwenye simu mahiri na kompyuta vibao za iOS na Android. Ukiwa na zana zote muhimu za kutrade, ikiwa ni pamoja na orders za kutrade, chati shirikishi na zana maarufu za uchanganuzi, unaweza kufuatilia akaunti yako na kufanya trade ya simu kwa kubofya mara moja.

Jukwaa lenye Uwezo la Vipengee Vingi

Terminali ya Biashara ya Kompyuta ya Mezani cha MT5

  • Zaidi ya instruments 200 za kutrade
  • Madarasa 6 ya mali
  • Aina 5 za akaunti za kutrade
  • Spreads za chini hadi 0.0
  • Ada kuanzia 0
  • Aina 8 za pending order (Buy Stop, Sell Stop, Buy Limit, Sell Limit, Take Profit, Stop Loss, Buy Stop Limit, Sell Stop Limit)
  • Vipindi 21 na aina 3 za chati
  • Inapatikana katika Windows, macOS na Linux
  • Instant execution na market execution
  • Mfumo wa Hedging
  • Indicators 38 zilizojengewa ndani na vifaa 22 vya uchanganuzi
  • Kalenda ya forex iliyojengwa ndani
  • Quotes za kiwango cha 2 zinatumika
  • Trailing stop, uchanganuzi wa kiufundi, na Indicators maalum, Expert Advisors (EA) na Scripts

Unachoweza kutrade kwenye MT5

Katika Expressfxt, unaweza kufurahia kufanya trade ya CFD katika zaidi ya instruments 200, ambazo ni pamoja na kufanya trade ya jozi za sarafu za forex, metali, cryptocurrencies, stocks, indices na nishati.

Forex

Kuna zaidi ya majozi 100 ya sarafu yanayopatikana kwa trade ya CFD kwenye MT5 katika Expressfxt. Tunatoa jozi za sarafu kuu, ikiwa ni pamoja na EURUSD, GBPUSD na USDJPY, na jozi za sarafu ndogo. Pia kuna orodha ndefu ya majozi nadra yanayopatikana kufanyia trade ya CFD.

Metali

Kwenye MT5 ukitumia Expressfxt, unaweza kufanya trade ya CFD kwenye metali kwa njia ya jozi za sarafu, ambazo ni pamoja na XAUUSD, XAUEUR, XAUGBP na XAUAUD kwa dhahabu na XAGUSD, XAGEUR, XAGGBP na XAGAUD kwa fedha. Unaweza pia kufanya biashara kwa platinamu (XPT) na paladiamu (XPD) kwa jozi za sarafu.

Cryptocurrencies

Unaweza kutrade katika sarafu maarufu zaidi za crypto katika jozi za sarafu kwenye MetaTrader 5. Hizi ni pamoja na CFD kwenye Bitcoin, Ethereum, Ripple, Litecoin na Bitcoin Cash, huku Bitcoin ikipatikana katika BTCUSD, BTCKRW, BTCJPY na zaidi.

Stocks, Indices na Nishati

Kwa sasa, traders kwenye MT5 wanaweza kufanya trade ya CFD kwenye zaidi ya stocks 80, ambazo zimeorodheshwa kwenye tovuti yetu, na indices 10, ikijumuisha US30, DE30, HK50, UK100, na AUS200. Katika nishati, tunatoa CFD kwenye UKOIL, USOIL na XNGUSD.

Jinsi ya kufungua akaunti ya MT5 na Expressfxt

Kabla ya kuanza kufanya trade, fungua kwanza akaunti ya Standard au ya Professional ya MT5 ukitumia Expressfxt. Baada ya usajili wa akaunti kufanikiwa, utaweza kupata maelezo ya akaunti yako ya MT5 yaliyoorodheshwa katika Eneo lako la Binafsi.

Jinsi ya kuingia kwenye akaunti ya MT5

Kwa Windows, macOS na Linux:
  • Fungua terminali ya biashara kwenye kompyuta yako ya mezani
  • Kwenye terminali, bofya ‘File’ kisha uchague ‘Login to Trade Account’
  • Kisha, weka nambari ya akaunti yako kama Maelezo ya kuingia, nenosiri la trade ya akaunti yako na seva ambayo akaunti yako ilisajiliwa
  • Ukishaingia, utasikia sauti ya kengele ikithibitisha kuingia kwako

Maswali yanayoulizwa sana

Pata majibu kwa maswali yanayoulizwa sana kuhusu kutumia MetaTrader 5.

Kwa terminali ya kompyuta ya mezani ya MetaTrader 5, utahitaji kuingia kwenye akaunti yako ya kutrade. Ili kuingia:

  • Bofya ‘File’ na kisha ‘Login to Trade Account’

  • Weka maelezo ya kuingia, Nenosiri na Seva (maelezo ya kuingia na seva yanaweza kupatikana kwenye akaunti yako ya kutrade katika Eneo la Binafsi huku nenosiri lako likiwa sawa na uliloweka kwa akaunti yako ya kutrade)

  • Ukishaingia, utasikia sauti ya kengele ikithibitisha kuingia kwako na unaweza kuanza kufungua trades.

Kwa miongozo ya jinsi ya kuingia katika mifumo mingine ya MetaTrader 5 kwenye Expressfxt, tembelea Kituo chetu cha Usaidizi.

Mara tu unapofungua akaunti yako ya kutrade ya MT5, unaweza kuweka order mpya ya CFD katika jozi za sarafu, metali na instruments zingine nyingi. Kwa terminali ya kompyuta ya mezani ya MetaTrader 5:

  • Fungua order mpya kwa kubofya 'New Order' kwenye upau wa vidhibiti au kubofya mara mbili kwenye jozi ya sarafu ya forex unayotaka kwenye dirisha la 'Market Watch'

  • Baada ya kuchagua ishara, weka kiasi chako, stop loss na take profit

  • Kisha bofya ‘Market Execution’ au ‘Pending Order’

  • Kisha, bofya kwenye ‘Sell by Market’ au ‘Buy by Market’ ili kufungua trade.

Unaweza kufunga order kwa kubofya order yako mara mbili na kubofya kitufe cha ‘Close by Market’ au kwa kubofya upande wa kulia wa order yako na kuchagua ‘Close Order’.

Majukwaa mengine ya MetaTrader 5 yanaweza kuwa na njia tofauti kidogo za kufungua trades, ambazo unaweza kuzitazama katika Kituo chetu cha Usaidizi.

Huku ikiwa imeundwa na MetaQuotes, MetaTrader 5 sio tu maarufu kwa zana na vipengele vyake, lakini pia kwa usalama wake. Jukwaa la MT5 husimba kwa njia fiche data yote inayotumwa kati ya traders na seva za jukwaa, na kuhakikisha kuwa akaunti za kutrade, miamala na data yako inalindwa.

MetaTrader 5 hailipishwi. Expressfxt haitozi ada yoyote kwa kupakua au kutumia chaguo zozote tofauti za jukwaa. Hata hivyo, muunganisho wa Intaneti wa kutumia terminali ya biashara na ada zingine zinazohusiana ni wajibu wa trader.